Back to results
Cover image for book Ninang'atuka 2014

Ninang'atuka 2014

By:Dardanus Mfalme
Publisher:Author Solutions
Print ISBN:9781483689623
eText ISBN:9781483689647
Edition:0
Copyright:2013
Format:Reflowable

eBook Features

Instant Access

Purchase and read your book immediately

Read Offline

Access your eTextbook anytime and anywhere

Study Tools

Built-in study tools like highlights and more

Read Aloud

Listen and follow along as Bookshelf reads to you

Ni kitabu chanye hazina ya mashairi yaliyotungwa na mtunzi aliyebobea katika fani ya utunzi wa nyimbo, tenzi na mashairi. Mtunzi wa kitabu ametunga tungo za kitabu hiki akifuata na kulinda maadili ya lugha ya Kiswahili kwa malengo ya kuelimisha, kuburudisha na kufundisha jamii zote. Usomapo kitabu hiki utapata uhondo kamili wa lugha ya Kiswahili kwani mtunzi wa kitabu ametumia maneno ya Kiswahili sanifu, Kiswahili cha mitaani na maneno aliyoyatohoa kutoka lugha mbali mbali ambayo hutumiwa kwa wingi mitaani. Katika kurasa za mwisho za kitabu hiki, mtunzi ameweka kamusi ya Kiswahili cha mitaani ili wale wasioelewa Kiswahili cha mitaani waweze kupata burudani kamili wanaposoma ama wanapoimba mashairi yake.